TAARIFA YA JESHI LA POLISI KWA VYOMBO VYA HABARI NA WAKAZI WA JIJI LA MWANZA NA MAENEO JIRANI
Jeshi la police mkoa wa mwanza linawaalika ndugu jamaa na
marafiki kuuaga mwili wa marehemu kamanda wa polisi mkoani Mwanza bwana
Liberatus Barlow,zoezi hilo litafanyika kesho tarehe 15/10/2012 jmatatu
asubuhi kuanzia saa 08:00am (saa mbili asubuhi) hadi saa 01:00pm (saa saba
mchana) katika viwanja vya nyamagana jijin mwanza.
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.