Huyu
Rick Ross wa bongo alinichekesha sana manake alijitokeza kusikojulikana
wakati watu wana shauku ya kumuona Ross mwenyewe, watu walimshangilia
kweli wakijua ni mwenyewe hata mimi mwenyewe nilikua mbali ikabidi
nimfate lakini nilipokaribia nikajua ni Ross wa bongo.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Zilizosomwa zaidi
-
INASEMEKANA huyu mwanadada ndiye aliyevunja rekodi ya watu weusi duniani maana maranyingi watu walisubiri atabasamu ili waamin...
-
-
Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Philipo Mulugo anadaiwa kutumia ujanja katika wasifu na elimu yake ambapo katika maisha yake...
-
Chama cha Wasafirishaji wa Mafuta Tanzania (Tatoa), kimesema Rwanda na Uganda zitajitoa kutumia Bandari ya Dar es Salaam kuanzia Septem...
-
Jamaa ndio atakuwa ansababisha ile Burudani ya fiesta pande za Dar
No comments:
Post a Comment