MAMLAKA
ya Hali ya Hewa nchini (TMA), imesema mvua kubwa zilizotangazwa awali
zinatarajiwa kuanza leo katika mikoa ya ukanda wa pwani.Mamlaka
hiyo imetangaza hali ya hatari katika ukanda huo na kuwataka wananchi
kuondoka katika maeneo hatarishi ya mabondeni ambako maji hukutana.
Hivyo wakazi wa Dar es Salaam na kwingineko wamekuwa na hofu na mvua hizo kwa kuzihofia kutokana na kutangazwa mara kwa mara
Baadhi ya wakazi wa maeneo hayo tayari wameshamisha familia zao ili kukabilina na tatizo hilo
Hata hivyo hadi kufikia majira ya alasiri ya leo mvua hizo kwa mkoa wa Dar es salaam zilikuwa bado hazijaanza rasmi
Kwa
taarifa iliyoipata nifahamishe zimebaini kuwa, Mkuu wa Mkoa wa Dar es
Salaam, Said Meck Sadik ameshajipanga kwa kuweka mikakati kwa
kukabiliana na hatari hiyo.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Zilizosomwa zaidi
-
WAZIRI Mkuu aliyejiuzulu kwa kashfa ya kampuni tata ya kufua umeme ya Richmond, Edward Lowassa, aliweka masharti ya namna ya kupit...
-
Wafa...
-
Timu ya Young Africans hapo jana imefanikiwa kuichapa Toto African mabao 3-1 katika mchezo wa ligi kuu ya Vodacom Tanznaia bara, mchez...
-
Samahani kwa picha hizi Baadhi ya wanakijiji wa Korogwe wakiushangaa mwili wa mtu huyo ambaye jina lake halikuweza kuta...
-
Wakati Watanzania wakisubiri matokeo ya kidato cha pili mwaka 2013, imebainika kuwa Serikali imetoa agizo kwamba wanafunzi wote ...
No comments:
Post a Comment