Michuano ya kikapu kombe la taifa imeanza leo huko
jijini Tanga katika kiwanja cha CCM Mkwakwani
ambapo timu ya Tanga imekipiga na timu kutoka Pwani
na mchezo wa pili umekuwa kati ya Arusha na Lindi.
Katibu msaidizi wa shirikisho ls kikapu Tanzania TBF
Michael Malue amesema maandalizi yako vizuri sana
na mambo ni mazuri,
Amesema timu kutoka mikoa 13 zimeshawasili jijini Tanga.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Zilizosomwa zaidi
-
SONG: STUCK ON YOU Artist: Lionel Richie Stuck on you I've got this feeling down deep in my soul that I just can't lose...
-
Cristiano Ronaldo - Bugatti Veyron David Beckham Bentley - Continental Supersports Claude Makalele - Ferrari 360 Didier ...
-
SERIKALI imepiga marufuku mihadhara ya kidini nchi nzima kwa siku 30 ikiwa ni moja ya hatua ya kukabiliana na machafuko ya kidini yanayoli...
-
1 Tukio la tetemeko: Tarehe 10/09/2016 saa 9 na dakika 27 mchana kumetokea tetemeko la ardhi mkoani Kagera. Kitovu cha teteme...
-
Baada ya kutumikia adhabu ya kutohudhuria vikao vitano vya Bunge, wabunge watano wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), jana wa...
No comments:
Post a Comment