Michuano ya kikapu kombe la taifa imeanza leo huko
jijini Tanga katika kiwanja cha CCM Mkwakwani
ambapo timu ya Tanga imekipiga na timu kutoka Pwani
na mchezo wa pili umekuwa kati ya Arusha na Lindi.
Katibu msaidizi wa shirikisho ls kikapu Tanzania TBF
Michael Malue amesema maandalizi yako vizuri sana
na mambo ni mazuri,
Amesema timu kutoka mikoa 13 zimeshawasili jijini Tanga.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Zilizosomwa zaidi
-
Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) kimehadharisha walaji wa nyama ya nguruwe nchini, kuwa wanakabiliwa na hatari ya kupata kifa...
-
Rais wa Zanzibar,Dk.Ali Mohamed Sheni (kulia) akimtunuku Dkt.Salim Ahmed Salim nishani ya Mapinduzi ya Za...
-
Mamlaka ya Majisafi na Majitaka Dar es Salaam (Dawasco), imesema inawadai wateja sugu Sh40 bilioni huku ikiwataka kulipa madeni hayo...
-
KUSHUKA kwa bei ya mafuta ya petroli na dizeli, kumepata taswira mpya jijini Dar es Salaam kwa jinsi mafuta hayo, yanavyoendelea kuwa ke...
-
No comments:
Post a Comment