- Leo ni siku ya pili ya kambi ya warembo ya Tanzania ambapo mratibu wa masuala ya urembo , Hashimu Lundenga amekutana na warembo thelathini na kutoa tahadhari kwa warembo hao kutojihusisha na vitendo vya utovu wa nidhamu.
Katika siku hii pamoja na suala la kujiepusha na vitendo vya utovu wa nidhamu , pia amesisitiza suala la kuheshimu sheria na kuheshimu mkataba walioingia kati ya kamati hiyo na mrembo husika.
Kambi hii ni ya mwezi mmoja ambapo tamati yake itafikia novemba 5,Mrembo atakayepatikana katika shindano hilo atapata fursa ya
Baadhi ya warembo katika kambi hii mbali na kunyakuwa taji la TANZANIA wengine watanyakuwa taji la vipaji , taji la muonekano mzuri, na taji la mwanamke aliyeng`ara katika michezo.
Mrembo wa Tanzania atashiriki shindano la dunia litakalofanyika mwezi AUGOST mwakani katika mji wa JAKARTA nchini INDONESIA.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Zilizosomwa zaidi
-
-
BAADHI ya wamiliki wa mabasi mkoani Shinyanga, wamesema asilimia 24.46 iliyoongezwa katika nauli haitoshi. Wamiliki hao wameyasema hayo...
-
Mkuu wa Majeshi Nchini, Davis Mwamunyange na Mkuu wa Jeshi la Polisi, IGP Said Mwema nao wametakiwa kuji...
-
(Jaji Mstaafu, Joseph Warioba ambaye ni Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba akizungumza na ...
-
No comments:
Post a Comment