Wednesday, October 17, 2012

LIGI DARAJA LA NNE DODOMA IPO HIVI.

Timu ya Kisasa United juzi iliendelea vyema kwenye ligi ya daraja la nne Wilaya ya Dodoma Mjini baada ya kuwalaza Nungu FC mabao 2-0. 
Mchezo huo ulichezwa kwenye uwanja wa shule ya msingi Chamwino.

No comments:

Zilizosomwa zaidi