Wednesday, October 3, 2012

Kutoka BBC

 Shirika la Fedha duniani, IMF, limesema uchumi wa Tanzania unaendelea kuimarika huku pato la taifa kwa mwaka 2012 likitarajiwa kukua kati ya asilimia 6.5 na saba. Hata hivyo mfumuko wa bei bado upo katika asilimia 15 japo kasi yake imekuwa ikishuka taratibu.

No comments:

Zilizosomwa zaidi