ASKARI
wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Kapteni Deogratius Magushi
amefariki dunia na mwenzake Kapteni Feruz Kwibika kujeruhiwa vibaya
wakati wakijaribu kujiokoa baada ya ndege waliyokuwa wakifanyia mafunzo
kupata hitilafu ikiwa angani na kuanguka.
|
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.