Wednesday, October 24, 2012

AJALI NYINGINE TZ HII HAPA

ASKARI wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Kapteni Deogratius Magushi amefariki dunia na mwenzake Kapteni Feruz Kwibika kujeruhiwa vibaya wakati wakijaribu kujiokoa baada ya ndege waliyokuwa wakifanyia mafunzo kupata hitilafu ikiwa angani na kuanguka.

No comments:

Zilizosomwa zaidi