Tuesday, September 18, 2012

Waziri wa ardhi, nyumba na makazi Prof. Anna Tibaijuka, amewataka wanawake wote nchini kujitegemea wao wenyewe katika kuleta mafanikio yao bila kumtegemea mtu yeyote. Kama wanawake wataendelea kuwa tegemezi hawawezi kupata maendeleo hata kidogo.

No comments:

Zilizosomwa zaidi