Katibu
Mkuu wa CHADEMA, Dk. Willibrod Slaa, akiwakabidhi kadi ya uwanachama
wa chama hicho kwa Lilian Wassira na ndugu yake Esther, baada
kujiunga na chama hicho. Lilian na Esther ni watoto wa George Wassira
Kaka wa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Uhusiano) Stephen Wassira. Picha
na Michael Matemanga
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.