Wafuasi
wa Chadema mjini Arusha wakisukuma gari alilokuwa akiendesha aliyeuwa
Mbunge wa Arusha Mjini,Godbless Lema, jana, baada ya kuahirishwa kesi ya
kupinga hukumu iliyomvua ubunge wake. Kesi hiyo imeahirishwa kutokana
na wakili wa wajibu rufaa,Alute Mughwai na ndugu yake Tundu Lissu ambaye
ni wakili wa waleta maombi kufiwa na baba yao.
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.