Saturday, August 25, 2012
Ile tabia ya abiria kujisaidi wakati wa safari maarufu kama kuchimba dawa, imekuwa ikisababisha uchafuzi wa mazingira hali ambayo sasa inapigwa vita na Serikali. Kufikia octoba mwaka huu hakuna gari litakalokuwa linasimama porini ili abiria wake wachimbe dawa. Hivyo abilia katika barabara ya Dar, Morogoro, Dodoma, Singida hadi Mwanza, wameiomba serikali kuchukua jukumu la kujenga vyoo barabarani. Wameshauri ni bora vyoo hivyo vikajengwa kila baada ya kilometa 150.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Zilizosomwa zaidi
-
Lori la mizigo lililogongana uso kwa uso na basi la Al - Saedy lililokuwa likitoka Dar Es salaam kuelekea Mkoani Dodoma ...
-
-
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akiwa katika picha na Mhe OmaDr Yussuf Mzee, Waziri wa Fedha ...
-
ZAMANI nilikuwa nikiskia mtu analalamika kaibiwa wimbo au kaibiwa njia. Nilikuwa naona ni kama maigizo na mtu kutafuta kick ya kupandia ....
-
Chama cha Wasafirishaji wa Mafuta Tanzania (Tatoa), kimesema Rwanda na Uganda zitajitoa kutumia Bandari ya Dar es Salaam kuanzia Septem...
No comments:
Post a Comment