Sunday, April 3, 2016

USIPITWE NA HII, TANGAZA NASI SASA....!

Bw. Faraja Dogeje-Mkurugenzi
Pamoja na kukupatia habari za kutosha kila siku, sasa tunatoa fursa kwa Watu Binafsi, Mashirika ya kiserikali na yasiyo ya kiserikali, Kampuni, Wasanii wa aina zote, wafanyabiashara wa aina zote wakubwa kwa wadogo kujitangaza au kutangaza huduma zao kwa kuwafikishia ujumbe watu zaidi ya 3,500 kwa siku kupitia Blog yetu,                   www.farajadogeje.blogspot.com, Instagram na facebook. 
Wengi wamenufaika kwa kujitangaza nasi kupitia instagram na facebook akaunti za farajadogeje. Kwa maelezo zaidi na utaratibu wa matangazo yote, wasiliana na Mkurugenzi wetu Bw. Faraja Dogeje
Simu na Whatsapp no: +255713 914 416
Barua pepe: fdogeje@gmail.com

No comments:

Zilizosomwa zaidi