Kama wewe ni kijana ndio umemaliza chuo au upo mtaani unatafuta kazi na umeomba kazi mbalimbali halafu baadae ukapata ujumbe kama huu au unaofanana na huu kwa namna moja au nyingine Wapuuzie.. Usiwahusudu watu kama hawa, nin matapeli, Utatapeliwa bure pesa yako ya mkopo ukijipa tumaini kuwa utapata kazi kumbe hakuna. Mwenye macho, masikio na akili atazingatia lakini Mbulura na wasiojari atachukulia poa na kuyadharau haya..
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Zilizosomwa zaidi
-
Chris Walton mwenye umri wa miaka 47 ndiye mwanamke mwenye kucha ndefu zaidi duniani zenye urefu unaozidi futi 20, hajawahi kuz...
-
Matokeo ya kidato cha pili yametangazwa leo na Naibu waziri wa Elimu Bw.Philip Mulugo kupitia vyombo vya habari na yako hivi: Wal...
-
Ajali mbaya imetokea mchana wa leo katika eneo Mbwewe Bagamoyo ikihusisha bus la kampuni ya Meridian lililokuwa likisafirish...
-
-
No comments:
Post a Comment