Friday, August 8, 2014

PICHA ZA AJALI YA BASI LA ABOOD WILAYANI MUFINDI HAPO JANA

 


Basi hili  la Kampuni ya Abood lililokuwa lilisafiri kutoka jijini Dar es Salaam kwenda Tunduma mkoani Mbeya, lilimepata ajali katika Wilayani Mufindi, mkoani Iringa.
Japo bado idadi ya waliojeruhiwa haijajulikana, lakini walikimbizwa katika hospitali ya wilaya ya Mufindi kwa ajili ya matibabu zaidi. Ajali hiyo imetokea Majira ya saa 10 jioni.

No comments:

Zilizosomwa zaidi