Friday, August 15, 2014

IJUE TOFAUTI KATI YA CHETI CHA KUZALIWA NA KITAMBULISHO CHA TAIFA

Cheti cha kuzaliwa ni nyaraka ya kwanza kabisa kwa mtu pindi tu anapozaliwa. Kitambulisho cha Utaifa inatolewa kwa mtu aliyefikisha miaka 18.
 Kiambatisho cha lazima cha kwanza ni cheti cha kuzaliwa. Cheti cha kuzaliwa kinaonyesha majina ya baba, mama, ulizaliwa lini na wapi n.k papo hapo.
Kitambulisho cha Taifa ni kama kadi ya bank ilivyo matumizi ni rahisi kubeba na taarifa zingine zinazokuhusu mpaka uende ofisini katika mitambo maalum kujua taarifa zako za wapi ulizaliwa, majina ya mama, pasipoti namba (kama unayo) Kifupi hizi ni mamlaka mbili tofauti na sheria zinasema ni lazima kujisajili kupata cheti cha kuzaliwa na unapofikia miaka 18 ni lazima ujiandikishe kupata kitambulisho hicho.

No comments: