Sunday, July 20, 2014

SHAMBULIO LINGINE LAUWA 4 KENYA

Photo: Al-Shabaab washambulia tena LIKONI MOMBASA na kuua watu 4 na kujeruhi 10 jana Jumapili katika mtaa mabanda SOWETO.

Watu waliojihami na silaha kali waliingia mtaa wa Soweto Likoni na kuanza kushambulia watu kwa risasi kila kona.

Pwani ya Mombasa imekumbwa na mashambulizi ya Kighaidi ambayo yanahusishwa na kuwepo kwa majeshi ya Kenya Somalia.

Serikali ya Kenya inasisitiza liwe liwalo hawatoi majeshi Somalia.

Unakubaliana na Msimamo wa Serikali?

Al-Shabaab washambulia tena LIKONI MOMBASA na kuua watu 4 na kujeruhi 10 jana Jumapili katika mtaa mabanda SOWETO.

Watu waliojihami na silaha kali waliingia mtaa wa Soweto Likoni na kuanza kushambulia watu kwa risasi kila kona
Pwani ya Mombasa imekumbwa na mashambulizi ya Kighaidi ambayo yanahusishwa na kuwepo kwa majeshi ya Kenya Somalia.

Serikali ya Kenya inasisitiza liwe liwalo hawatoi majeshi Somalia.

No comments:

Zilizosomwa zaidi