
Wafanyabiashara wa mjini Iringa wamegoma asubuhi hii wakishinikiza Mamlaka ya Mapato Tanzania
 (TRA) iondoe mashine za EFD kwa madai kwamba wananyonywa na ni wizi 
mtupu.Maduka karibu yote ya Miyomboni yamefungwa na wafabishara hao 
wameandamana kuangalia yale ambayo hayajafungwa ili washinikize wenzao 
wayafunge kwa nguvu.






No comments:
Post a Comment