Monday, December 16, 2013

KISA CHA KIFO CHA DIWANI CLEMENCE MABINA-KISESA MWANZA NDIO HIKI HAPA

TUNAOMBA RADHI KWA PICHA HII 
Naomba radhi kwa PICHA NILIYOWEKA.....Nilifika Kisesa jana mara baada ya kusikia mauaji ya kutisha ya Diwani wa kata ya Kisesa na aliyepata kuwa mwenyekiti wa CCM MKOA WA MWANZA MH CLEMENCE MABINA,ili nishuhudie tukio hili la kusikitisha,nilipata shida kufika eneo ambalo tukio la mauaji lilotokea kijiji cha Kanyama,kila niliyemuuuliza anachikua kuhusu kifo hiki,hakuwa tayari kusema neon,hapa ndipi umauti ulipomfika Mzee Mabina,mashuhuda waliniambia kuwa kifo hiki kilitokana na mgogoro wa umiliki wa mlima kanyama ambako kuna vijana hujihusisha na uvunjaji wa mawe,mara baada ya Mh Mabina kununua eneo hilo ndipo mgogoro kati ya wananchi na MZEE MABINA ULIPOANZA,Taarifa nilizozipata,zinasema Mzee Mabina alikuwa amewatuma vijana wake kwenda kuweka alama za mipaka kwenye huo mlima wa Kanyama,vijana wake walikuta wanakijiji wakiendelea na kazi kwenye Mlima Kanyama,wanakijiji wakawazuia vijana wa Mabina kuweka alama kwa madai kuwa huo mlima ni mali ya kijiji,Marehemu Mabina alilazimika kwenda huko akiwa na silaha ya moto,alipofika wanakijiji walianza kumshambulia kwa mawe huku nae akiwakabili kwa silaha ya moto aliyokuwa nayo,katika mapambano hayo silaha ya moto ya Mzee Mabina ilisababisha umauti wa kujana mmoja!Mzee Mabina wakati anawakimbia wanakijiji hao,alidondoka na wanakijiji kumfikia na kumpiga kwa mawe na kusababisha umauiti!..MGOGORO WA ARDHI NA MOB JUSTICE UMESABABISHA KIFO CHA MZEE MABINA!Nimedokezwa kuwa mgogoro huu ni wa muda mrefu,kwa nini haukutatuliwa mpaka unafikia kiwango cha watu kupoteza maisha?kwa nini tunafumbia macho migogoro ya ardhi mpaka inasababisha mapigano?
Baada ya kufika Kisesa jana mara baada ya kusikia mauaji ya kutisha ya Diwani wa kata ya Kisesa na aliyepata kuwa mwenyekiti wa CCM MKOA WA MWANZA MH CLEMENCE MABINA,ili kushuhudia tukio hilo la kusikitisha,nilipata shida kufika eneo ambalo tukio la mauaji lilotokea kijiji cha Kanyama, kila aliyeulizwa alichukia kuhusu kifo hiki, hakuwa tayari kusema neno, hapa ndipo umauti ulipomfika Mzee Mabina, mashuhuda walisema  kuwa kifo hiki kilitokana na mgogoro wa umiliki wa mlima kanyama ambako kuna vijana hujihusisha na uvunjaji wa mawe,mara baada ya Mh Mabina kununua eneo hilo ndipo mgogoro kati ya wananchi na MZEE MABINA ULIPOANZA,Taarifa nilizozipata,zinasema Mzee Mabina alikuwa amewatuma vijana wake kwenda kuweka alama za mipaka kwenye huo mlima wa Kanyama, vijana wake walikuta wanakijiji wakiendelea na kazi kwenye Mlima Kanyama,wanakijiji wakawazuia vijana wa Mabina kuweka alama kwa madai kuwa huo mlima ni mali ya kijiji,Marehemu Mabina alilazimika kwenda huko akiwa na silaha ya moto,alipofika wanakijiji walianza kumshambulia kwa mawe huku nae akiwakabili kwa silaha ya moto aliyokuwa nayo,katika mapambano hayo silaha ya moto ya Mzee Mabina ilisababisha umauti wa kujana mmoja!Mzee Mabina wakati anawakimbia wanakijiji hao,alidondoka na wanakijiji kumfikia na kumpiga kwa mawe na kusababisha umauiti!..MGOGORO WA ARDHI NA MOB JUSTICE UMESABABISHA KIFO CHA MZEE MABINA!Nimedokezwa kuwa mgogoro huu ni wa muda mrefu,kwa nini haukutatuliwa mpaka unafikia kiwango cha watu kupoteza maisha?kwa nini tunafumbia macho migogoro ya ardhi mpaka inasababisha mapigano?
 
Na Emmanuel Dotto

No comments:

Zilizosomwa zaidi