SIMBA ALIE SUMBUA NA KUUWA MIFUGO MJINI MOROGORO AUAWA
Simba
huyo ambaye amesumbua kwa muda mrefu Mkoani Morogoro maaskari Wanyamapori
Mkoani Morogoro wamemwinda na kumuua simba huyo aliyetafuna mbuzi 47
katika Mlima Uluguru eneo la kijiji cha Bagilo kata ya Kinole, Tarafa ya
Mkuyuni Mkoani humo.
No comments:
Post a Comment