
Sheikh Ponda arijeruhiwa
Jumamosi iliyopita akiwa katika mhadhara wa Kiislamu huko mkoani
Morogoro. Baada ya kujeruhiwa Ponda alilazwa katika hospitali ya Taifa
Muhimbili kabla ya kuhamishiwa katika Taasisi ya Mifupa (MOI)
aliposomewa mashitaka. Kesi yake itaendelea pindi atakapopata nafuu
No comments:
Post a Comment