Mbunge
wa Kigoma CHADEMA, Zitto
Kabwe pamoja na Wabunge wenzake
kadhaa vijana
leo wakemaliza rasmi
mafunzo yao ya awali ya JKT katika
kambi ya Mgambo
835KJ kilichopo
Mkoani Tanga.
Pichani juu ni Zitto Kabwe akijiandaa
kwenda katika
gwaride la mwisho na picha chini akiwa shambani
pamoja na
Mbunge mwenzake Iddi Azan, Abdallah
haji, Raya Ibrahim na Antony Mbassa
kambi ya
Mgambo 835KJ.
Aidha
Zitto Kabwe amesema anafuraha iliyo pitiliza
kumaliza mafunzo hayo na
ameweka historia ya
kubwa katika maisha yake hii leo. Anapasha zaidi
katika wakati wa Zoezi la kulenga shabaha alifanikiwa
kulenga risasi 3
akiwa amelala, 3 akiwa amepiga
magoti na 1 akiwa amesimama.
No comments:
Post a Comment