Wakazi wa mji mmoja wa
kusini mwa Somalia wamesema raia wanane waliuwawa katika jaribio
lilofanywa na makomando wa Ufaransa kumkomboa mwananchi mwenzao
aliyezuwiliwa na wapiganaji.
Walioshuhudia tukio hilo wanasema watu wanene walikufa wakati makomando wa Ufaransa walipotua nje ya mji wa Bulo Marer.
Wengine walikufa katika mapambano ya risasi.
Mwanajeshi mmoja wa Ufaransa alikufa Jumamosi kwenye operesheni hiyo na mwengine ametoweka.
Wapiganaji wa Kiislamu wa Al Shabaab ambao
walikuwa wanamzuwia askari wa ujasusi wa Ufaransa walisema afisa huyo
yuhai, lakini Ufaransa inasema pengin
No comments:
Post a Comment