Saturday, January 12, 2013

WATU 25 WANUSURIKA KIFO KATIKA AJARI YA NDEGE YA ATCL

NG'OMBE WA MASIKINI HAZAI,
NA AKIZAA HUZAA TASA
ZAIDI YA ABIRIA 25 WANUSURIKA KIFO BAADA YA NDEGE YA ATCL KUPATA HITILAFU IKIWA ANGANI MKOANI KIGOMA...Shirika la ndege la Tanzania ATCL sasa limerejesha usafiri kwa mikoa ya Kigoma na Tabora baada ya kusitishwa kwa huduma hiyo mwaka jana.
pamoja na hilo zaidi ya abiria 25 wanusurika kupoteza maisha baada ya ndege  ya kampuni hiyo kupata hitilafu ikiwa angani huko mkoani Kigoma.
 

No comments:

Zilizosomwa zaidi