Friday, January 18, 2013

WAKENYA WAIGIZA MAZISHI YA WABUNGE

Mamia ya wanaharakati wamefanya mazishi yenye namna ya mzaha ya wabunge wote nchini Kenya.
Wanaharakati hao waliokuwa na majeneza zaidi ya mia mbili walifanya maandamano jijini Nairobi na kuyateketeza majeneza hayo nje ya jengo la bunge la Kenya kufuatia hatua wa wabunge kupitisha sheria ambayo ingewapa marupurupu ya zaidi ya dola laki moja kila mmoja na mazishi ya kitaifa watakapofariki.

No comments:

Zilizosomwa zaidi