Inaarifiwa Al Shaabab wamemuua Jasusi Denis Alex baada ya jaribio la makomando wa Ufaransa la kumuoka kutibuka.
Serikali ya Ufaransa imesema
inaamini kuwa Allex aliuawa wiki jana wakati wa jaribuio la kumuokoa
ambapo pia makomando wawili wa ufaransa waliuawa.
Allex alitekwa nyara nchini Somalia mwezi Julai mwaka 2009.
No comments:
Post a Comment