Katibu Mkuu wa Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar
Dkt. Khalid Mohamed akiongea katika mkutano na Wajumbe wa
Tume ya Mabadiliko ya Katiba uliofanyika katika ukumbi wa
Karimjee jijini Dar es Salaam leo. Katibu Mkuu huyo aliwasilisha
maoni ya watumishi wa ofisi yake kuhusu Katiba Mpya.
Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Bw. Awadh Saidakiongea katika mkutano kati ya Wajumbe wa Tume na ujumbe waOfisi ya Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar uliowasilisha maoni yawatumishi wa ofisi hiyo kuhusu Katiba Mpya katika ukumbi wa
Karimjee jijini Dar es Salaam leo.
Sunday, January 20, 2013
HAWA NI VIONGOZI ZANZIBAR WALIOSHIRIKI KUTOA MAONI YA KATIBA MPYA.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Zilizosomwa zaidi
-
-
KAMBI zinazosigana ndani ya CCM zinaonekana kuchuana vikali katika uchaguzi wa ngazi ya wil...
-
Hapa ni mdahalo uliofanyika jana nchini mMarekani kati ya Barack Obama na mshindani wake Mitt Romney wa Republican
-
Zambia 1 - 1 Ethiopia Nigeria 1 - 1 Burkina Faso
-

No comments:
Post a Comment