
Huyu
Rick Ross wa bongo alinichekesha sana manake alijitokeza kusikojulikana
wakati watu wana shauku ya kumuona Ross mwenyewe, watu walimshangilia
kweli wakijua ni mwenyewe hata mimi mwenyewe nilikua mbali ikabidi
nimfate lakini nilipokaribia nikajua ni Ross wa bongo.

No comments:
Post a Comment