Katika waraka uliowasilishwa hapo jana, Dk Ulimboka anaihoji Serikari ni
hatua gani imechukua katika kufanya uchunguzi tangu alipote alipotekwa na
kupigwa vibaya sana. Katika waraka huo uliosomwa na mwanasheria a
liyemchagua yeye mwenyewe amemtaja mfanyakazi mmoja wa ikulu
ambaye aliiwasiliana naye kwa mara ya mwisho siku hiyo ya tukio.
Kama haukumbuki, hizi ni baadhi ya Picha baada ya kutekwa
na kupigwa vibaya kwa Daktari huyo.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Zilizosomwa zaidi
-
Kajala Masanja. Pamoja na kutoa faini ya Sh. milioni 13 alizolipiwa na staa mwenzake wa filamu, Wema Isaac Sepetu, Kajala anat...
-
Wanahabari wataka uhuru zaidi wa habari: JUKWAA la Wahariri Tanzania (TEF) limependekeza Katiba mpya ijayo itambue uhuru wa vyombo vya ha...
-
Hatimaye Gareth Bale amejiunga rasmi na Real Madrid ya Uhispania kwa kuvunja rekodi iliyowekwa na Cristiano Ronaldo. Jumatatu ya leo imek...
-
Abiria wakiwa tayali wameshuka katika Daladala baada ya kutoka maeneo mbalimbali ya mji wa Dodoma na kushushiwa Barabarani baada ya...
-
1 Tukio la tetemeko: Tarehe 10/09/2016 saa 9 na dakika 27 mchana kumetokea tetemeko la ardhi mkoani Kagera. Kitovu cha teteme...
No comments:
Post a Comment