Saturday, September 8, 2012

Wanafunzi wa shule za msingi na sekondari nchini Tanzania wanakabiriwa na changamoto ya lugha inayotumika kufundishia shuleni. Mwanafunzi anafundishwa kwa lugha ya Kiingereza lakini anatafakari na kufikiri kwa lugha ya Kiswahili. Chanzo:Star tv(rafiki wa elimu) Dk. Lwaimata

No comments:

Zilizosomwa zaidi