Saturday, September 8, 2012

Wakuu wa shule za sekondari nchini wanatakiwa kujiepusha na vitendo vya rushwa. Hii ni baada ya kujitokeza katika baadhi ya shule mkoani Kilimanjaro ambapo walimu wakuu wamekuwa na tabia ya kupokea rushwa ili kuwasajiri wanafunzi kuingia kidato cha Kwanza japo walifeli shule za msingi. Vitendo hivyo vya rushwa vimesababisha usajiri wa wanafunzi wasiojua kusoma na kuandika.

No comments:

Zilizosomwa zaidi