Wednesday, September 5, 2012

Chama cha Mapinduzi CCM kupitia katibu mwenezi wa chama hicho Bw Nape Nnauye, amikitaka chama cha Chadema kuhusika katika vifo vinavyotokea wakati wa maandamano yanayofanywa na wafuasi wa chama hicho kioapokuwa kinafanya mikutano yake katika maeneo mbalimbali nchini.

No comments: