Sunday, August 26, 2012

Unaelewa nini kuhusu Sheria na Katiba? Fika katika kanisa la Anglikana Murusi, siku ya Jumanne tar 28 saa tisa alasiri, kwa ajili ya semina elekezi juu ya Sheria na Katiba. Semina hiyo itaongozwa na mwanasheria.

No comments:

Zilizosomwa zaidi