Tuesday, August 21, 2012

Makarani wa sensa nchini katika wilaya za Kinondoni jijini Dar es salaam na wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma wamegoma kuapa kwa ajili ya kuanza kazi ya sensa baada ya wasimamizi wa semina kushindwa kuwalipa pesa makarani hao kama walivyotegemea.

No comments: