Monday, August 20, 2012

Kuelekea Sensa ya watu na makazi. Serikali mkoani Mbeya imetahadharisha kwa yeyote aliyechaguliwa kama karani wa sensa na kushiriki katika semina, atashindwa kufanya kazi ipasavyo, sheria kali itachukuliwa juu yake.

No comments: