Pages

Monday, February 24, 2014

MUSEVENI ATIA SAHIHI MUSWADA WA SHERIA YA MAPENZI YA JINSIA MOJA


yoweri-museveni-007 33b7d

Hatimae Rais wa Uganda YOWER KAGUTA MUSEVEN mapema leo mchana ametia sain muswada wa sheria ya mapenzi na ndoa za jinsia moja, ambapo sasa raia wa uganda atakae patikana na kosa hilo atatahukumiwa kifungo cha maisha jela. Museveni amesisistiza kwamba ametia sain muswada huo kwa kuzingatia kwamba suala ushoga na usagaji   si udhaifu wa kimaumbile wakuzaliwa nao  bali ni tabia ya kujifunza.

No comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.