Hatimae
Rais wa Uganda YOWER KAGUTA MUSEVEN mapema leo mchana ametia sain
muswada wa sheria ya mapenzi na ndoa za jinsia moja, ambapo sasa raia wa
uganda atakae patikana na kosa hilo atatahukumiwa kifungo cha maisha
jela. Museveni amesisistiza kwamba ametia sain muswada huo kwa
kuzingatia kwamba suala ushoga na usagaji si udhaifu wa kimaumbile
wakuzaliwa nao bali ni tabia ya kujifunza.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Zilizosomwa zaidi
-
Kajala Masanja. Pamoja na kutoa faini ya Sh. milioni 13 alizolipiwa na staa mwenzake wa filamu, Wema Isaac Sepetu, Kajala anat...
-
Matokeo karibu yote yamekwisha kamilika nasi tunamsubiri msimamizi wa uchaguzi Jimbo la Kalenga Bi Pudensiana Kisaka kumtangaza mshindi a...
-
-
Wakazi wa Mbezi Beach, Tegeta na Wazo katika Manispaa ya Kinondoni wamelalamikia kazi ya ubomoaji wa nyumba zao ili kupisha...
-
True Fans Kwenye Kili Music Tour Kahama Wakipata Show Ya Ukweli, Ilifanyika Uwanja wa Taifa Wa Kahama, Next Ni Dar Es Salaam. ...
No comments:
Post a Comment