Leo asubuhi eneo la Mikese, Morogoro, kumetokea ajali
mbaya sana ya magari mawili, moja la mafuta, kugongana uso kwa uso na
kutumbukia mtaroni na yote kushika moto. Inasadikiwa mtu mmoja ambaye ni
dereva kateketea kabisa kwa moto.
Hakuna cha kufanyika kutokana na moto mkubwa na moshi mwingi wakati magari hayo yakiteketea

Mlipuko mkubwa wakati matenki ya mafuta yakilipuka
Askari wa kikosi cha zimamoto wakijaribu kuuzima moto huo
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.