Sunday, February 23, 2014

HII NI AJALI MBAYA ILIYOTOKEA LEO ASUBUHI HUKO MIKESE- MOROGORO

Leo asubuhi eneo la Mikese, Morogoro, kumetokea ajali  mbaya sana ya magari mawili, moja la mafuta, kugongana uso kwa uso na kutumbukia mtaroni na yote kushika moto. Inasadikiwa mtu mmoja ambaye ni dereva kateketea kabisa kwa moto.
 Hakuna cha kufanyika kutokana na moto mkubwa na moshi mwingi wakati magari hayo yakiteketea
 Mlipuko mkubwa wakati matenki ya mafuta yakilipuka
Askari wa kikosi cha zimamoto wakijaribu kuuzima moto huo

No comments:

Zilizosomwa zaidi