HAYA NI MAVUNO YA ZABIBU SHAMBANI KWA WAZIRI MKUU MHE. PINDA DODOMA
Bibi
Silvana Nhungwe akivuna zabibu katika shamba la Mheshimiwa Waziri Mkuu,
Mizengo Pinda lililopo eneo la Zuzu mjini Dodoma Septemba 11, 2013.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Watu wakivuna zabibu kwenye Shamba la Mheshimiwa Waziri Mkuu, Mizengo PInda lililopo Zuzu mjini
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.