Wednesday, March 20, 2013

KAMA MDAU WANGU HAPA UNAWEZA KUWEKA KICHWA GANI CHA HABARI...

RAIS OBAMA ATEMBELEA ISRAEL KWA MARA YA KWANZA.

Rais Obama Rais Barack Obama amewasili nchini Israel ikiwa ni ziara yake ya kwanza kama rais wa Marekani.

Wakati alikiwasili, waandamanaji walikusanyika na ulinzi kuimarishwa nchini Israel na katika maeneo ya Palestina.

Obama anategemewa kukutana na Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu na rais wa Palestina Mahmoud Abbas wakati wa ziara yake ya siku tatu.

Mambo makuu yaliyomfanya afanye ziara hiyo ni vita nchini Syria na wasiwasi kuhusu nia za Iran za kinyuklia

MVUA KALI IMESABABISHA MAPOROMOKO HUKO BRAZIL...!

Waokoaji PetropolisTakriban watu 27 wamefariki baada ya ardhi kuporomoka mjini Petropolis, eneo la milimani kaskazini mwa Rio de Janeiro, Brazil, baada ya mvua kubwa kunyesha.

ANDIKA NENO LOLOTE KWA PICHA HII....

Mwenyezi Mungu ampe nafuu MTOTO huyu kwa Mateso anayoyapata. Kama una ROHO ya huruma andika "AMEN" na kama haujali Ipotezee..!

MAMBO MATANO ALIYOSEMA UHURU KUMJIBU ODINGA BAADA YA KWENDA MAHAKAMANI....!

Uhuru Kenyatta REPLY To Raila Odinga 

1.The constitution does not impose any duty On IEBC to register voters, identify voters or transmit votes cast electronically. It was within IEBC mandate to go manual once Electronic systems failed!

2.Following consultations between the President, the Petitioner and the 1st Respondent, a decision was made to procure the BVR Kits from the Government of Canada in a Government – Government deal. The Cabinet meeting at which the decision was made was chaired by the President and the Petitioner. Its wrong for Odinga to claim fault of BVR's in which he helped procure.

3. The notion that the electronic tallying/voting system should not fail is fundamentally unsound.
***They failed in the recent Ghana elections-2012.
***They failed in the USA elections -2002
*** They failed in Europe leading to legislation to return to Manual system.

4.The agents for all political parties present at the national tallying centre were not ejected from the tallying centre but rather provided with suitable alternative facilities within the tallying centre after the Odinga's supporters started shouting and mis-conducting themselves in a room which they and other agents had been allocated for verification of results.

5.The Orders sought by the Odinga are also mischievous and designed to cause disproportionate harm to constitutional governance

Zilizosomwa zaidi