Friday, January 18, 2013

WAKENYA WAIGIZA MAZISHI YA WABUNGE

Mamia ya wanaharakati wamefanya mazishi yenye namna ya mzaha ya wabunge wote nchini Kenya.
Wanaharakati hao waliokuwa na majeneza zaidi ya mia mbili walifanya maandamano jijini Nairobi na kuyateketeza majeneza hayo nje ya jengo la bunge la Kenya kufuatia hatua wa wabunge kupitisha sheria ambayo ingewapa marupurupu ya zaidi ya dola laki moja kila mmoja na mazishi ya kitaifa watakapofariki.

LADY JAYDEE BAADA YA KUFIKA KILELE CHA MLIMA KILIMANJARO



Jide akiwa kileleni mwa Mlima KilimanjaroJide akiwa kileleni mwa Mlima Kilimanjaro
603119_10151189093635025_720693770_n
Jaydee akiwa na watalii walioupanda Mlima huoJaydee akiwa na watalii walioupanda Mlima huo
397387_10151189090380025_59149445_n
'We did it'‘We did it’
Jaydee na Gadner na nyuzo za furahaJaydee na Gadner na nyuzo za furaha
Wananchi wakimpongeza Jaydee kwa ushujaa

JIUNGE NASI SASA

Bonyeza kitufe kilichoandikwa like upande wa kushoto wa blog hii  chini ya neno jiunge nasi katika facebook ili uweze kujiunga nasi
na kuweze kupata habari mbalimbali kutoka kwa farajadogeje.blogspot.com

Zilizosomwa zaidi