Sunday, January 13, 2013

GHASIA "MAAFISA UTUMISHI PUNGUZENI KERO KWA WAFANYAKAZI WENZENU"

MHESHIMIWA HAWA ABDUL
RAHMANI GHASIA (MB), WAZIRI WA NCHI OFISI YA WAZIRI
MKUU, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA 

AKIZUNGUMZA NA WATUMISHI WA HALMASHAURI YA JIJI LA MBEYA, AMESEMA KATIKA ZIARA YAKE HAPA MKOANI MBEYA AMEGUNDUA KERO KUBWA KWA WATUMISHI HAO NI MAAFISA UTUMISHI WAO KUTO WATENDEA HAKI WALA KUWASIKILIZA SHIDA ZAO KWANI WAMEKUWA NI MIUNGU MTU AMEWATAKA MAAFISA UTUMISHA HAO KUFANYA KAZI KWA MUJIBU WA SHERIA  NA HATA SIKA KUMFUKUZA KAZI  AFISA UTUMISHI YEYOTE ATAKAE ZEMBEA KATIKA KAZI ZAKE
MKUU WA  MKOA MBEYA AKIMKARISHA WAZIRI HAWA GHASIA AONGEE NA WAFANYAKAZI WA JIJI LA MBEYA
MSTAHIKI WA JIJI LA MBEYA ATANATH KAPUNGA AKIMSHUKURU WAZIRI GHASIA KWA HOTUBA YAKE NZURI NA KUWA WATAIFANYIKA KAZI 

BAADHI YA WATUMISHI WA JIJI LA MBEYA WAKIMSIKILIZA WAZIRI GHASIA

MWESHIMIWA MBUNGE MBEYA MJINI JOSEPH MBILINYI ALIKUWEPO KATIKA KIKAO HICHO
WAFANYAKAZI WA JIJI LA MBEYA WALIMZAWADIA ZAWADI WAZIRI GHASIA

IANGALIE VIDEO MAELFU WALIVYOANDAMANA KUPINGA NDOA YA JINSIA MOJA HUKO PARIS UFARANSA.,


MAELUFU WAANDAMANA KUPINGA NDOAZA JINSIA MOJA.......


UFARANSA.

Demonstrators against gay marriage, adoption and procreation assistance gather in the streets of Paris.(Reuters / Benoit Tessier)
Demonstrators against gay marriage, adoption and procreation assistance gather in the streets of Paris.(Reuters / Benoit Tessier)Demonstrators against gay marriage, adoption and procreation assistance gather in the streets of Paris.(Reuters / Benoit Tessier)Demonstrators, one carrying a baby, gather on the Champ de Mars near the Eiffel Tower in Paris, to protest France′s planned legalisation of same-sex marriage.(Reuters / Mal Langsdon)Demonstrators against gay marriage, adoption and procreation assistance gather in the streets of Paris, January 13, 2013. (Reuters / Benoit Tessier)A person holds a placard reading "No to homosexual marriage" during a protest organized by fundamentalist Christians group Civitas Institute against same-sex marriage on January 13, 2013 in Paris. (AFP Photo / Kenzo Tribouillard)Young protesters on top of a statue hold a banner reading "I know where I come from, I wonder where we go", at the start of a march against same-sex marriage, on January 13, 2013 at Denfert-Rochereau square in Paris. (AFP Photo / Lionel Bonaventure)Veiled women take part in a march against same-sex marriage on January 13, 2013 in Paris. (AFP Photo / Fred Dufour)Children hold French national flags as they take part in a march against same-sex marriage on January 13, 2013 in Paris. (AFP Photo / Fred Dufour)A man shows his disagreement to an old man taking part in a protest against same-sex marriage on January 13, 2013 in Paris. (AFP Photo / Fred Dufour)Virginie Tellene, known as "Frigide Barjot" sings on stage during a rally against same-sex marriage on the Champs-de-Mars in Paris, on January 13, 2013. (AFP Photo / Thomas Samson)Young people hold a board reading in French "Free to love" in front of the Eiffel Tower,to protest at the end of a march against same-sex marriage on January 13, 2013 in Paris. (AFP Photo / Miguel Medina)

YOUNG AFRICANS WAREJEA NCHINI....



 Timu ya Young Africans Sports Club iliyokuwa imeweka kambi ya wiki mbili katika mji wa Antalay nchini Uturuki kwa ajili ya maandalizi ya mzunguko wa pili wa ligi kuu ya vodacom na mashindano ya kimataifa tayari imeshatua nchini leo aflajiri.
Msafara wa watu 33 ukiwa na wachezaji 27 na viongozi 6 umewasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa majira ya saa 10 kasoro alfajiri kwa shirika la ndege la Uturuki Turkish Air ambapo katika mkuu wa Young Africans Lawrence Mwalusako aliongoza mapokezi hayo.
Young Africans iliweka kambi katika hoteli ya Fame Residence kwa kipindi chote cha mafunzo ambapo pia ilipata fursa ya kucheza michezo kadhaa ya kujipima nguvu na timu kutoka barani ulaya katika nchi za Uholanzi, Uturuki na Ujerumani.
Mara baada ya kutoka nje ya uwanja wa ndege bus la klabu liliwachukua wachezaji na viongozi tayari kwa kwenda kupumzika ambapo kocha mkuu Ernest Brandts ametoa mapumziko ya siku 2 kwa wachezaji kukaa na familia zao kabla ya kuanza mazoezi tena siku ya jumatano kujiandaa na ligi ku ya vodacom.



HII NDIO KAULI YA WENGER BAADA YA MECHI KUMALIZIKA

arsene-wenger-arsenal "We have to fight until the end of the season. But we need to find more defensive stability."



HAYA NI MATESO BILA CHUKI

NI MASIKITIKO YANGU MAKUBWA KUONA WAKINA MAMA WENGI KAMA HUYU WAKIKABILIWA NA MAJUKUMU MAKUBWA, HUKU UKIWAKUTA WAKINA BABA WAKIWA KWENYE VILABU VYA POMBE AU KWENYE BAO...
NANI ATAMKOMBOA...?? NI KUKUMU LA WOTE...!!

HAYA NDIO MATOKEO YA MECHI YA ARSENAL V/S MAN CITY

HAYA NDIO MANENO ALIYOINESHA DZEKO BAADA YA KUFUNGA GOLI LA PILI LA MAN CITY


VIBONZO

















Photo
Photo

HIZI NDIO STORY KWENYE MAGAZETI YA LEO JUMAPILI

HIZI NI BAADHI YA TIMU ZITAKAZOSHIRIKI MICHUANO YA AFCON

Afrika kusini inawania taji lake la pili

Afrika kusini inawania taji lake la piliBaada ya Libya kutumbukia katika vita vya wenyewe kwa wenyewe, shirikisho la soka barani Afrika liliamua mwaka jana kuwa fainali za mwaka 2013 zifanyike nchini Afrika kusini. Timu ya nchi hiyo kama inavyojulikana "Bafana Bafana", inaweza kutwaa taji hilo kwa mara ya pili baada ya kuwa mabingwa mwaka 1996. Afrika kusini imo katika kundi A pamoja na Angola, Cape Verde na Morocco.


Mabingwa watetezi Zambia

 
Mabingwa watetezi ZambiaUshindi wa kushangaza wa Zambia katika fainali za kombe la Afrika mwaka 2012 si rahisi kuusahau haraka. Zambia iliishinda Cote d'Ivoire kwa mabao 8-7 kwa njia ya penalti baada ya timu hizo kutoka sare katika dakika za kawaida. Zambia inacheza katika kundi C ambalo lina timu za Nigeria, Burkina Faso na Ethiopia.



Côte d'Ivoire

Côte d'Ivoire haitakubali tena kuwa ya piliCôte d'Ivoire inakwenda katika fainali hizo nchini Afrika kusini ikiwa ni makamu bingwa. Côte d'Ivore imeishinda Senegal katika awamu ya kufuzu katika makundi. Mjini Dakar baada ya Côte d'Ivoire kuongoza kwa mabao 2-0, kulizuka ghasia na mchezo kuvunjika. Senegal iliondolewa. Côte d'Ivoire inacheza katika kundi D pamoja na Tunisia, Algeria na Togo.

 

 Angola

Angola yatumai kufanya vizuri mara hiiKwa mara ya saba Angola imefanikiwa kucheza katika fainali za kombe la Afrika. Timu hiyo inayofahamika kama "Palancas Negras", ilifanikiwa kwa kuiondoa Zimbabwe kwa mabao 3-1 katika mchezo wa kwanza na kuiadhibu Zimbabwe tena kwa mabao 2-0 nyumbani mjini Luanda. Magoli yote mawili yalifungwa na mshambuliaji Manucho (kulia).




Angola

Waangola wana matumainiMashabiki wa Angola wameonyesha matumaini kuwa timu yao (pichani) itafanikiwa kuvuka kikwazo cha duru ya kwanza. Wanahisi kuwa ushindi unawezekana dhidi ya wenyeji Afrika kusini, Morocco na Cape Verde. Kocha wa Angola, raia wa Uruguay, Gustavo Ferrín, kwa upande wake analiona kundi A kuwa gumu zaidi.





Cape Verde

 
Wageni wa mashindano hayo Cape VerdeWacape Verde wanajisikia fahari na kikosi chao cha "Nyangumi wa Buluu", ama kama wanavyofahamika nchini humo "Tubarões Azuis". Kwa mara ya kwanza nchi hiyo inashiriki katika mashindano makubwa ya kimataifa. Januari 19 Cape Verde itafungua dimba la fainali hizo dhidi ya wenyeji Afrika kusini mjini Johannesburg.





Ghana

 
Ghana yawania taji lake la tanoMara nne Ghana imekuwa mabingwa wa Afrika. Mara nane timu hiyo ya Afrika magharibi imejikuta katika fainali. Mara ya mwisho ilikuwa nchini Angola mwaka 2010. Ghana ilishindwa na Misri kwa bao 1-0. Mchezaji maarufu katika timu hiyo alikuwa mchezaji wa kati André Ayew (kulia) kutoka Olympique Marseille. Ghana imo katika kundi B pamoja na Mali, Niger na Jamhuri ya kidemokrasi ya Congo.



TIMU ZITAKAZOSHIRIKI AFCON TAYARI ZIMETAJA VIKOSI VYAO...

Fans Suedafrika mit Fahnen und Vuvuzela - Troete Spiel 34: Frankreich - Suedafrika, Bloemfontein, 22.06.2010-- FIFA - Fussball Weltmeisterschaft 2010 in Suedafrika. Match 34: France - South Africa, Bloemfontein, 22th June 2010-- FIFA- Soccer World Championship 2010 in South Africa. JAPAN OUT! Imebaki  wiki moja tu, pazia la dimba maarufu zaidi barani Afrika likipandishwa nchini Afrika Kusini, kwa burudani la kabumbu ya kuwania kombe la mataifa ya Afrika AFCON
Tayari vikosi vya timu zitakazoshiriki dimba hilo vimetajwa na Emmanuel Adebayor amejiumuishwa katika timu ya Togo, wakati mchezaji wa Mali, Mahamadou Diarra akitemwa nje. ADEBAYOR nahodha wa Togo alisema mwaka jana kwamba atasusia dimba hilo, akitaja sababu za usalama baada ya kuwa katika kikosi kilichoshambuliwa nchini Angola kabla ya dimba la mwaka wa 2010. mchezaji mmoja pamoja na afisa wa kikosi waliuawa na wanamgambo wanaopigania kujitenga eneo la Cabinda lenye utajiri wa mafuta, na Adebayor akanusurika kwa kujificha chini ya kiti cha basi lao. Klabu yake ya Tottehnam, Rais wa Togo, na maafisa wa soka ya kimataifa walilazimika kuingilia kati ili kumshawishi kujiunga na kikosi cha kocha Didier Six.

er Drogba na Christopher Katongo ni miongoni mwa majina maarufu katika soka ya Afrika
Kwa kinyang’anyiro cha tano mfululizo, nahodha Didier Drogba na kikosi chake cha Cote d’Ivoire, chenye wachezaji wengi nyota ni lazima aubebe mzigo wa kupigiwa upatu wa kuwa timu bora ya kutwaa taji hilo, ambalo liliwaponyoka nchini Misri, Ghana, Angola na Gabon na Guinea ya Ikweta.

Wamewahi kulinusa kombe hilo mara mbili, kwa kushindwa kupitia mikwaju ya penalti kwa wenyeji Misri mjini Cairo miaka saba iliyopita, na mikononi mwa Zambia mjini Libreville mwaka jana. Aidha waliondolewa mara mbili katika nusu fainali na robo fainali.

Cote d’Ivoire wamewahi kutwaa taji hilo mara moja, kwa kuwabwaga Ghana mjini Dakar miaka 21 iliyopita katika fainali nyingine iliyoamuliwa kupitia mikwaju ya matuta, lakini hiyo ni zamani sana kabla ya kuchipuka kwa wachezaji Drogba, Kolo na Yaya Toure, Didier Zokora na Emmanuel Eboue. Cote d’Ivoire watakabana koo katika kundi D na mabingwa wa zamani Algeria na Tunisia na Togo.
Wakati Cote d'Ivoire ikionekana kuwa timu itakayotamba sana katika dimba hilo, kutokana na majina mazito ya wachezaji nyota wa ligi za Ulaya, kuna timu nyingine nyingi zenye uwezo wa kutia kibindoni zawadi ya dola milioni 1.5, ikiwa ni pamoja na Zambia, Algeria, Ghana, Mali, Morocco, Nigeria, Afrika Kusini na Tunisia. Angola na Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo haipaswi kufutiliwa mbali pia. Timu kama vile Burkina Faso, Visiwa vya Cape Verde , Ethiopia, Niger na Togo ni timu nyingine tano ambazo zinaonekana kutokuwa na nafasi kubwa saana katika dimba hilo.


  Jurgen Klopp anaangazia Jurmacho kabumbu ya jukwaa la Bara Ulaya
Mkufunzi wa klabu ya Borussia Dortmund Jurgen Klopp tayari amekiri wkamba taji la Bundesliga limewaponyoka na kuwaendea Bayern munich. Klopp sasa amesema lengo lake ni Ligi ya Mabingwa Ulaya. Bayern wana uongozi wa tofauti ya pointi 12 kileleni dhidi ya nambari tatu Dortmund, ambao wamekuwa mabingwa kwa misimu miwili iliyopita, na Klopp ambaye yuko mjini La Manga, Uhispania kwa mazoezi ya kabla ya mzunguko wa pili wa msimu amesema kwamba Bayern hawakamitiki kwa sasa. Klopp amefutilia mbali usajili wowote wa mchezaji mpya wakati huu wa mapumziko ya msimu wa baridi, akisema wataendelea na sera ya klabu hiyo kuwaimarisha chipukizi, badala ya kujaribu kushindana na Bayern katika kuwanunua wachezaji. Amesema uamuzi wa beki Sven Bender na beki Neven Subotic wa kuirefusha mikataba yao ni muhimu kwa klabu hiyo. Hata hivyo mchezaji ambaye hajaurefusha mkataba wake ni Robert Lewandowski. Mshambuliaji huyo wa Poland, anayemezewa mate na vilabu kadhaa vikuu, atakuwa huru kuhama mwishoni mwa msimu.
Chanzo DW

WATU 8 AKIWEMO MWANAJESHI WAMEUAWA SOMALIA

Ramani ya mji wa Bulo Marer 
Wakazi wa mji mmoja wa kusini mwa Somalia wamesema raia wanane waliuwawa katika jaribio lilofanywa na makomando wa Ufaransa kumkomboa mwananchi mwenzao aliyezuwiliwa na wapiganaji.
Walioshuhudia tukio hilo wanasema watu wanene walikufa wakati makomando wa Ufaransa walipotua nje ya mji wa Bulo Marer.
Wengine walikufa katika mapambano ya risasi.
Mwanajeshi mmoja wa Ufaransa alikufa Jumamosi kwenye operesheni hiyo na mwengine ametoweka.
Wapiganaji wa Kiislamu wa Al Shabaab ambao walikuwa wanamzuwia askari wa ujasusi wa Ufaransa walisema afisa huyo yuhai, lakini Ufaransa inasema pengin

Zilizosomwa zaidi