Wednesday, January 9, 2013

HII MAALUMU KWA 2013

Photo

KESI YA PAPA MSOFE JANUARY 22



 KESI ya mauaji inayomkabili mfanyabiashara Marijani Msofe (50) 
maarufu kama ‘Papaa Msofe ‘ imeendelea kupigwa kalenda hadi 
Januari 22 mwaka huu, kwa kuwa upelelezi haujakamilika


Post titleMDAU WANGU WA UKWELI, HIZI NDIO HABARI KUBWA KWENYE KURASA ZA MBELE ZA MAGAZETI YA LEO TAR 10 JAN 2013..

MATOKEO YA CHELSEA NA SWANSEA HAYA HAPA

Chelsea0 - 2Swansea City

BUNDA BUS YAUA WATUN 2 NA KUJERUHI, MWANZA

Eneo la katikati ya Lugeye na Nyanguge basi la abiria la 'Bunda Express' lenye namba za usajili T 782 BKZ likitokea Musoma kuelekea Mwanza muda wa saa mbili asubuhi jana lilipata ajali mbaya, mazingira yanaonesha kuwa idadi kubwa ya watu wamekutwa na umauti na wengine kuwa majeruhi na mvua kubwa ilikuwa ikinyesha.WATU wawili wamefariki dunia na wengine 36 wamejeruhiwa vibaya baada ya basi la kampuni ya Bunda Express lenye namba za usajili T 782 BKZ, likitokea Musoma kuelekea Mwanza kuacha njia na kupinduka katika kijiji cha Ngashe kata ya Kahangara wilayani Magu mkoani Mwanza.  Ajari hii imetokea wakati mvua kubwa ilikuwa ikinyesha.
 

WATU 8 WAMEUAWA LEO TANA RIVER KENYA

 
Mapigano ya awali katika Tana River pia yalisababisha vifo vya watoto na akina mama
Takriban watu 8 wameuawa na wengine kujeruhiwa katika mapigano
 mapya eneo la Tana River kusini mashariki mwa Kenya. 
Taarifa hizi ni kwa mujibu wa shirika la msalaba mwekundu

STENDI YA KIBONDO IKO HAPA



ONGEZEKO LA WATU TANZANIA LIKO HAPA

Matokeo ya Sensa iliyofanyika mwaka 2012 imeonesha jumla ya watu million 44 laki tisa, ishirini na tisa elfu na wawili
Hii imekuwa ni  ongezeko la jumla ya watu millioni 10 na laki tano tangu sensa ilipofanyika ya mwaka 2002.

Zilizosomwa zaidi