Saturday, December 29, 2012

WATU 8 WAFARIKI HUKO KENYA.....

 
Familia zilizoathiriwa
Familia zilizoathiriwa kwa mujibu wa Gazeti la Standard Nchini Kenya wakipekuwa mali yao baada ya maporomoko hayo ya Ardhi
Watu wanane wamekufa baada ya nyumba kadha kufukiwa na maporomoko ya ardhi katika eneo la bonde la Kerio, magharibi mwa Kenya, jana usiku.
Maporomoko ya ardhi yamesababishwa na mvua kubwa zilizonyesha katika bonde hilo. Eneo la Kerio pia limekumbwa na mafuriko kutokana na mvua kubwa inayonyesha.
Chama cha Msalaba Mwekundu cha Kenya kinasaidia jitihada za uokoaji na kutoa taarifa kwamba miili miili ya watu wanane imeonekana na watu wengine watano waliokolewa mapema leo.
Watu wengi hawana makaazi kutokana na nyumba zao kusombwa na maji au kufukiwa na maporomoko ya ardhi.
Chanzo. BBC

HAYA NDIO MATOKEO YA MECHI ZOTE ZILIZOCHEZWA LEO KATIKA BARCLAYS PREMIER LEAGUE


Sunderland1 - 2Tottenham Hotspur

Aston Villa0 - 3Wigan Athletic

Fulham1 - 2Swansea City

Manchester United2 - 0West Bromwich Albion

Norwich City3 - 4Manchester City

Reading1 - 0West Ham United

Stoke City3 - 3Southampton

Arsenal7 - 3Newcastle United

STORI KWENYE MAGAZETI YA LEO TAR 29 DEC ZIKO HAPA.....












Zilizosomwa zaidi