Friday, December 14, 2012

KOFEE OLOMIDE BAADA YA KUTUA DAR, .....KWA PICHA NA STORY ZAIDI INGIA HAPA

Siku ya juma pili atakuwa anafanya shoo ya kijanja zaidi jijini Mwanza katika uwanja wa CCM Kirumba

Picha hapo chini  ni Charles Kofee Olomide pamoja na wacheza shoo wake mara tu baada ya kuwasiri jijini Dar es salaam.

PICHA ZA MTOTO ALIYEZALIWA NA KICHWA CHA CHURA ZIKO HAPA

USAFIRI WA TRENI SASA WAANZA KANDA YA ZIWA


Kuanzia tar 9. Dec usafiri kwa njia ya reli ulianza rasmi kuanzia Mwanza kuelekea Dar es salaam. Baada ya usafiri wa Tren kurejeshwa kwa wakazi wa kanda ya ziwa baada ya kusitishwa kwa muda mrefu, ni wazi kabisa wakazi wa jiji la Mwanza wameupokea kwa shangwe kabisa.

Hii ni baada ya wakazi wengi wa jiji hilo kufika kwa wingi katika Stesheni iliyopo jijini Mwanza kwa ajili ya kukata tiketi ili waweze kusafiri na Tren katika kipindi hiki cha sikuku za Chris mass na Mwaka mpya.
                                                                                                                                                              Baadhi ya abiri waliokuwepo Stesheni hapo,                 wamesema kurejeshwa kwa tren kanda ya ziwa ni Ukombozi tosha katika safari

















(Baadhi ya abiria wakikata tiketi katika stesheni Mwanza. picha Faraja Dogeje)





North Korea Missile
Great Wall SnowMorsi Protests Egypt
Meteor Sky Bosnia

4Tour
Cambodia Protesters Sonando
5A su
China Ice Swimmer
6
7
US Veterans Art
Paris On Ice

Art Collector Scotland
Zoo Christmas Treats

MMOJA AACHISHWA KAZI BAADA YA KUVUNJA SHERIA YA NDOA


Wazazi wanaruhusia tu kupata mtoto mmoja nchini China
Afisaa mmoja mkuu nchini China ameachishwa kazi kufuatia madai kuwa alivunja sheria ya ya ndoa ya nchi pamoja na sheria ya kuruhusiwa tu kuwa na mtoto mmoja.
Inaarifiwa kuwa afisaa huyo, Li Junwen alivunja sheria kwa kuwa na wake wanne na watoto kumi.
Vyombo vya habari vya serikali vinasema kuwa bwana, Li Junwen, alipata watoto wanne na mke wake wa kwanza na tayari alikuwa ameishi na wanawake wengine watatu ambao alipata nao watoto waliosalia.
 Maafisa wanasema anachunguzwa kwa kosa hilo ingawa kusheria haileweki uhusiano aliokuwa nao na wanawake hao.
China inaruhusu tu wazazi kuwa na mtoto mmoja la sivyo walipe faini kwa serikali kila mtoto wa ziada.
Inajulikana kuwa wanawake wengi nchini China hulazimishwa kutoa kimba zao wanapojulikana kuwa na mbimba ya pili.

Zilizosomwa zaidi