Friday, October 12, 2012

WANAWAKE NA HAKI YA KUTEMBEA KIFUA WAZI


Moira Johnston ameonekana akitembea matiti nje, bila blouse wala sidiria (topless) katika jiji la New York, Marekani. 
 
Moira amethibitisha kwamba anatembea matiti nje kuikumbusha jamii kwamba wanawake wana haki ya kutembea vifua wazi kama wanaume.

HIZI NDIO STORY ZILIZOBAMBA KWENYE MAGAZZETI YA LEO

Simba Sc v/s Coastal Union Leo


Mnyama Simmba Sports Club kuumana vikali na Coastal Union huko Tanga
kuanzia mida ya saa kumi za jioni kwa Afrika Mashariki.
Ni katika mchezo wao wa kwanza kutoka nje ya Dar tangu ligi kuu ilipoanza.


BREAKING NEWS: RPC MWANZA AUAWA.

 RPC MWANZA AUAWA.

Kamanda wa Polisi wa mkoa wa Mwanza SACP Liberatus Baro,
 ameuawa kwa kupigwa risasi na watu wasiofahamika
 majira ya saa nane ya usiku wa kuamkia leo.

Zilizosomwa zaidi