Friday, October 5, 2012
Picha za Rick Ross ndani ya Dar.
Picha za Rick Ross alivyoingia Dar (milard ayo)
KUANZIA HAPA NDIO RICK ROSS MWENYEWE.

Huyu
Rick Ross wa bongo alinichekesha sana manake alijitokeza kusikojulikana
wakati watu wana shauku ya kumuona Ross mwenyewe, watu walimshangilia
kweli wakijua ni mwenyewe hata mimi mwenyewe nilikua mbali ikabidi
nimfate lakini nilipokaribia nikajua ni Ross wa bongo.
Kilichowakuta waliogoma Afrika kusimi hiki hapa.
Yondani akiwa MOI.
Subscribe to:
Posts (Atom)
Zilizosomwa zaidi
-
Israel Magesa Wakili Magesa aliyeko (pichani) amefariki dunia ghafla leo asubuhi. Wakili Magesa, ambaye ni mmiliki wa kampuni y...
-
GARI aina ya Toyota VX linaloelezwa kuwa mali ya Serikali limekamatwa na polisi likiwa limebeba pembe za ndovu. ...
-
-
Jeshi la Polisi mkoani Mtwara limemkamata mbunge wa Mtwara Mjini (CCM), Hasnain Murji likimtuhumu kuchochea vurugu za kupinga mradi wa bo...
-
Nimepokea mwaliko wa kikao maalumu cha kikao cha fedha na uongozi wa tarehe 3/01/2014 kikao kufanyika tarehe 06/01/2013 saa nane mchana ...












